Thursday, November 15, 2012

graduation ya musoma information center



 benadetha akiwa na moja ya wageni wke
 hapa akiwa na mwakimu wake
 pozi na mwalimu wa musoma information
 mwalimu wa design nairobi akiwa na benadetha
 benadetha liliy& happy
 benadetha katika pozi
 graduation ikiendelea
 shamrashamra za graduatoin
ilikuwa babu kubwa kwa nje
 mishemishe zilikuwa nyingi
 siku hiyo ni furaha tele ndani ya wanachuo
 ukifika mda wa misosi
 misosi ilikuwa ya kiwastani ndani ya beach tembo
watu walikula wakanywa mpaka basi

No comments:

Post a Comment