Thursday, November 15, 2012

graduation ya musoma information center



 benadetha akiwa na moja ya wageni wke
 hapa akiwa na mwakimu wake
 pozi na mwalimu wa musoma information
 mwalimu wa design nairobi akiwa na benadetha
 benadetha liliy& happy
 benadetha katika pozi
 graduation ikiendelea
 shamrashamra za graduatoin
ilikuwa babu kubwa kwa nje
 mishemishe zilikuwa nyingi
 siku hiyo ni furaha tele ndani ya wanachuo
 ukifika mda wa misosi
 misosi ilikuwa ya kiwastani ndani ya beach tembo
watu walikula wakanywa mpaka basi

WANACHUO WA NAIRIBITIS MUSOMA WAKIWA BUTIAMA MAKUMBUSHO YA BABA WA TAIFA

 Wakiwa wakionekana wenye furaha kubwa baada ya kuingi makumbsho
 Benadetha akiwa katika pozi na moja ya mwanachuo wa musoma utalii
 Makumbusho ya mwalimu julius k nyerere
 hiki ni kibao cha makumbusho ya mwalimu j.k nyerere butiama
 Benadetha katika pozi
 Hawa ni wanachuo wa musoma information center
 Benadetha& Maria
 wakiendelea kuangalia makumbusho


Mwalimu ely akiwa na wanafunza wake baada ya kutoka makumbusho



























SEND OFF AUNT EZECKIEL

Jana ilikuwa ni siku kubwa sana kwa msanii maarufu wa filamu Tanzania Aunt Ezeckiel baada ya kufanya Send of yake  ndani ya Serena Hotel iliyoambatana na sherehe ya kuzaliwa kwake wasanii wengi wa Bongo Movie walikusanyika kumsapoti ndugu yao huyo, kwa hiyo wale wakwale wanaopenda kudoea vya watu wafyate mikia yao kwani sasa Aunt ni mke wa kijana wangu Sunday anayeishi mjini Dubai itakapofanyika rececption yao hongera sana dada yangu

Cloud akiwa na Bibi Harusi dada yetu Aunt wakipata picha ya kumbukumbu..

 Tukiwa ndani SERENA tukimsubili Bi Harusi hawasili ndani ya ukumbi.

 Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana.

 Bi Harusi akiwa tayari akiwa amefika sehemu yake maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake huku akiwa kazungukwa na wapambe wake

 Flowersssssss

 Wema na Jack Wolper

 Davina (wa kwanza kushoto) Cath Rupia (wa katikati) na Mama Eriethy

 Maya na Chuchu Hans.....

 Odama

 Mr na Mrs Cloud...............

 The Greatest nikiwa na kijana wangu....

 Ulifika muda wa kwenda kukabidhi keki kwa wazazi.....

 Akikabidhi keki kwa wazazi wake kwa adabu kubwa sana....

 Akiwa ameongozana na shemeji yake kwenda kupata chakula.

 Aunt akiwa kwenye vazi jengine kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa. 

 Maandalizi yakifanyika..

 Ratiba ya kukakata ndafu ikiendelea!

 Mmependeza.....

 Wema akiwakilisha wananawake wa Bongo Movie kwa kula ndafu....

 Cloud pia akiwaakilisha wanaume wa Bongo Movie.....

 Ulifika mda wa burudani ...

 Wachaa we.......

 Batuli akitoa show....

 The Greatest nikiwa na Da Natasha katikati na JB mwenyekiti wa Bongo movie...

 Mambo yakipamba moto..

 Recho Saguda wacha weee..


 Burudani ikiendelea..